SHEREHE YA MAZAZI YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W).





Waumini wa dini ya Kiislam Bauchi nchini Nigeria wakiwa katika sherehe ya mazazi ya Mtukufu Mtume Muhammad (a.s) huku wakiwa wamebeba picha za Kiongozi wao Sheikh Ibrahim Zakzaky kuitaka serikali kumuachia uhuru kiongozi wao ambaye ameshikiliwa na jeshi la nchi ya Nigeria, ikumbukwe kuwa wiki iliyopita jeshi la Nigeria lilivamia Husseiniyah ambayo inamilikiwa na Waislam wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashariyyah na kuuwa watu wasio pungua 1000 na kumtia nguvuni kiongozi mkuu wa Madhehebu hayo ya Kishia nchi humo.