MATANGAZO

Ninatoa wito kwa waislam wote duniani kuichagua Ijumaa ya mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambayo ni miongoni mwa siku za Lailatul Qadr na inaweza kuwa na umuhimu mkubwa mno kwa Mustakbali wa taifa la Palestina. IMAM KHOMEIN (R.A)