Changia harakati za Tabligh kwa ajili ya Masilahi ya Umma, Kupigania maadili katika jamii ni jukumu la kila mmoja wetu, jamii inapokosa usimamizi wa mafunzo ya kiroho inapoteza muelekeo na utu katika jamii. Tushirikiane kusimamisha maadili katika jamii zetu. Imam Hussein (a.s) sababu ya kifo chake ni usimamizi wa maadili yeye siku zote katika maisha yake akuwa tayari kuona maadili yanatoweka, kwa nini sisi leo hii tuwe kimya na watazamaji juu ya somo hili la maadili katika jamii. Tuamke sasa tupiganie maadili