ZIARA YA WANAHARAKATI WA BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA KATIKA WILAYA YA KILWA.
Wanaharakati wa Bilal Muslim mission of
Tanzania wametembelea Msikiti uliyopo Kilwa na kukutana na baadhi ya
Waumini wa Kiislamu pia walifanya ziara fupi ya kudhulu makaburi
yaliyopo katika mji huo siku ya Ijumaa ya tarehe 8/08/2014.