NIGERIA YAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUPINGA UNYAMA WANAOFANYIWA WAPALESTINA,

Siku ya kimataifa ya Quds iliyofanyika nchini Nigeria kwa ajili ya kupinga ukandamizaji wanaofanyiwa Wapalestina na utawala haramu wa Israel.