UKUMBUSHO KWA WAUMINI.

Mwenyezi Mungu anasema katika kitabu chake kitukufu: "Na kila (Umma) katika nyinyi tumeujaalia sharia yake na njia yake. Na kama Mwenyezi Mungu angetaka angewafanya umma mmoja, lakini ni kuwajaribu katika hayo aliyowapa, Basi shindaneni katika mambo ya kheri. Marejeo yenu nyote ni kwa Mwenyezi Mungu; Naye atawaambia yale mliyokuwa mkihitalifiana." (Surat al- Maidah: 48). Huu ni mwongozo kwa wenye mazingatio