MAZISHI YAFANYIKA LEO KATIKA MAKABURI YA KABURISITAN YALIYOPO KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.

Waumini wa dini ya Kiislam wakiwa katika mkusanyiko kwa ajili ya mazishi ya marehemu Ali Hussein Abbasi. Tusome Surat Al-Fath kwa ajili ya ndugu yetu na Marehemu wote waliotangulia mbele ya haki. "Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea."