SHEREHE YA MAZAZI YA IMAM ALI (A.S) YAFANYIKA MASJID AL-GHADIIR, JIJINI DAR ES SALAAM.

Sherehe ya kuzaliwa Imam Ali (a.s) imefanyika siku ya jana ya tarehe 18/05/2014 Masjid Ali Ghadiir Kigogo Post, jijini Dar es Salaam katika sherehe hiyo ilipatikana baraka ya kufungishwa ndoa ya bint wa Bwana Mohammed Mputa.