Tv Imaan imeingia mkataba na startimes ili
kurushiwa matangazo yake kwa mikoa 6, Dar es salaam
Morogoro,Arusha,Dodoma,Mbeya na Mwanza itayogharimu Milioni Mia mbili
ishirini na tatu na laki nane, 223,800,000/= kwa mwaka.
Enyi wafuasi wa AHLUL-BAYT(a.s) sasa hawa jamaa wanaingia katika uwanja wa Tv sisi tumekalia tu maneno bila ya vitendo sijui Imam leo hii akidhihiri tutasema nini sisi mbele yake.? Kwa kweli atutendi haki kabisa leo hii sisi sio wa kuwa na chombo kimoja cha kurusha matangazo tena kinapatikana Tanga tu hapa nchini, kwa nini Mawahhabi wanafanikiwa katika mambo yao na sisi tunafeli katika mambo yetu aliyakuwa sisi mambo yetu yanasimamiwa na Imam? hapana kunajambo sio bure turejee kwa Mwenyezi Mungu tuangalie tumemkosea nini Imam sisi kama Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) hatuwezi kukwama kila siku. Leo hii Ummah wa Watanzania utapotoshwa kupitia Kanati (Tv) hii tunaona jinsi gani watu hawa wanavyofanya jitihada ya kupotosha mafundisho ya Mwenyezi Mungu katika Radio Imani iliyopo Mkoani Morogoro sasa leo wanaingia katika Tv hii ni hatari sana. "Enyi Waumini wenzangu tupunguze maneno sasa tuwe wenye kutenda"
Mwenyezi Mungu anasema: “Enyi mlioamini! Mbona mnasema msiyoyatenda?"
(Qur’an: 61:1)