WANAHARAKATI WA KIISLAM WANATAKIWA WAFANYE KAZI KWA KUTEGEMEA RADHI YA ALLAH (S.A.W).

Hii ndio kazi ya Wilayat AL- Faqih, angalieni jinsi gani inavyofanya kazi katika ardhi ya Nigeria, na sisi hapa kwetu Tanzania kama atutokuwa na ubinafsi, chuki na roho mbaya siku moja Insh'allah Wilayat AL- Faqih itasimama na maadui wa Uislam watatoweka, "Tumtangulize Mwenyezi Mungu mbele katika kila jambo letu pia tufanye kazi kwa kutegemea radhi za Allah (s.w.t)."