Mawahhabi kwa kweli wanaleta picha mbaya katika Uislamu, hivi karibuni nilipata bahati ya kutembelea Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega, nilipofika nilifanya utafiti juu ya Uislamu katika sehemu hiyo nimekuta Uislamu uliyotawala ni Uislamu wa hajabu ambao auna upendo baina ya watu wasio kuwa wao, kwa kweli Wahhabi (Answaru Sunna) wanafanya kila njia kuhakikisha Uislamu wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w) unafutwa duniani, kwa kweli inauzunisha ukizingatia asilimia kubwa ya wakazi wa Nzega sio Waislamu wanaitaji upendo, nilipata kukaa na baadhi ya Wakristo hili nipate machache kutoka kwao kuhusu wanavyoishi wao na Waislamu kwa kweli inaonyesha hakuna mahusiano mazuri wanasema katika Misikiti ya Wajahidina (Wahhabi) kila siku ni vurugu tu ukiwakuta wakati wa swala pembeni wameweka Mapanga, Visu na bakora siku moja jeshi la Polisi liliamua kufanya kazi ya kuwakamata na kuwapeleka kituoni, kwa kweli kutokana na hali hii Uislamu katika Wilaya ya Nzega umekuwa finyu sana Wahhabi ni Sumu ya Uislamu ulimwenguni, pia nilipata bahati ya kuswali katika Misikiti mmoja ambao umejengwa na msamalia mwema mmoja inasemekana ni msomali, hapo napo niliuliza je, huu Msikiti ni wa Madhehebu gani? nilipata jibu kuwa ni Msikiti wa Sunni umejengwa na Msomali mmoja hila hapa huwa hakuna kutoa Sadaka wala kukaa vikao baada ya Swala niliuliza kwa nini? nikapata jibu kuwa kuna watu huwa wanaleta vurugu ndani ya Misikiti kwa kisingizio cha Sadaka na kutaka kuleta mageuzi katika Misikiti kwa jina wanaitwa Wajahidina wanavaa Kanzu fupi na wanandevu nyingi zinazotisha ndio maana aliyejitolea kujenga Msikiti huu hataki Sadaka kwa kuhofia vitu kama hivi visije kutokea siku inayofuata nilipata bahati nyingine ya kutembelea sehemu ya Ipilili Masjid L-Huda pia hapo nilibahatika kukutana na muhudumu wa Msikiti huo nikafanya mazungumzo nae kuhusu Uislamu naye alisema katika Wilaya ya Nzega Uislamu unachangamoto nyingi mno inaitajika nguvu ya ziada katika kuelimisha Ummah, amesema katika eneo lao mpaka sasa hakuna Madrasa walianza ujenzi sasa wamekwama kutokana na hali ya kiuchumi wameomba kwa wafadhili mbalimbali mpaka sasa hakuna majibu yeyote hila kunamfadhili mmoja yeye alijitolea kujenga Msikiti tu. "JAMANI WATU WA DAWA NA TABLIGH PELEKENI NGUVU MKOA WA TABORA WILAYA YA NZEGA"
MAWAHHABI WANALETA PICHA MBAYA KATIKA JAMII.