Maonyesho ya Vitabu yamefunguliwa rasimi
tarehe 10/12/2013 katika Maktaba Kuu ya Taif iliyopo karibu na Mahakama
ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Maonyesho hayo yatafanyika mpaka tarehe
14/12/2013 watu wote wanakaribishwa kutembelea Vitabu na kununua kwa
bei nafuu zaidi. Karibuni sana