Hali ilivyokuwa huko Nigeria baada ya Jeshi la Nigeria kuvamia Husseiniya na kuuwa Maelfu ya watu na kumtia nguvuni Sheikh Ibrahim ZakZaky Kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini Nigeria mwaka jana.