Viongozi na
Wanaharakati wa Bilal Muslim Mission leo wametembelea Wilaya ya Rufiji Mkoa wa
Pwani katika baadhi ya matawi yake kwa ajili ya kuangalia mazingira ya vituo
vyao na maendeleo ya walimu na Wanafunzi na kupanga mikakati ya ufanyaji kazi
katika uwanja wa Harakai ya kuelimisha Ummah. Bilal imedhamilia kwa dhati
kunyanyua elimu ya dini ya Kiislamu kwa mara nyingine tena.