DARASA LA UJUE USHIA.


Asalaam Aleykum, 
Unakaribishwa katika darasa la UJUE USHIA Ilala Sharifu Shamba kila J.mossi, kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12:30 jioni, kwa mawasiliano zaidi piga namba: 0655740503, Watu wote wanakaribishwa.