Waumini wa dini ya Kiislam na Wanaharakati jijini Dar es Salaam wameungana katika maombolezo ya kifo cha Mke wa Sheikh Hemed Jalala mmoja wa Wanaharakati wa dini ya Kiislamu nchini Tanzania, mke wa Sheikh amefariki siku ya J.tano katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu, mazishi yamefanyika leo Kisarawe katika sehemu ya viwanja vya chuo cha dini ya Kiislamu kilichopo Kigogo Post jijini Dar es Salaam, Uongozi wa chuo hicho wameamua kutenga sehemu maalumu yenye ukubwa wa Ekali mbili kwa ajili ya kuzikia huko Kisarawe baada ya mda mrefu kukosekana eneo la kuzikia, Uongozi wa Hawzat Al Imam Swadiq (a.s) unatoa mkono wa Shukrani kwa wote waliyojitokeza kuungana nao katika kipindi chote walipopata taarifa ya msiba. Hakika sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
MAZISHI YA MKE WA KIONGOZI WA HARAKATI ZA KIISLAM NCHINI TANZANIA SHEIKH HEMED JALALA.