MAZISHI YA SHEIKH NASSORO BACHU, YALIYOFANYIKA ZANZIBAR.

Mwili wa Sheikh Nassoro Bachu umeswaliwa katika viwanja vya Maisara na kuzikwa Kijijini alipozaliwa Donge.