Masheikh wakionyesha ushirikiano wadhati
katika kumuunga mkono mwandishi wa kitabu Sheikh Ja'afar Ammar Mwazoa,
katika uzinduzi wa kitabu "SHIMO REFU ALILOTUMBUKIA IBN MAFUTA (KASSIM
MAFUTA)" uliyofanyika leo Masjid Al Ghadiir Kigogo Post, jijini Dar es
Salaam.
Kwa yeyote anayeitaji Kitabu hiki anaweza kuwasiliana na Mwandishi wa Kitabu kupitia Barua pepe jafferymwazoa@yahoo.com au simu namba: +255 716 463 471.