MWENYEKITI WA TAASISI YA AL ITRAH FOUNDATION AKABIDHI ZAWADI KWA KIJANA ALIYEIFADHI JUZUU 20 ZA QUR'AN TUKUFU.

Mwenyekiti wa taasisi ya Al Itrah Foundation ndugu Mehboob Somji akimkabidhi zawadi mwanafunzi wa Shule ya msingi Bilal Muslim Mission iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam baada ya kuonyesha umahiri wa kuifadhi Qur'ani Tukufu Juzuu 20 zawadi hiyo ilitolewa katika Sherehe ya Eid Al Ghadir iliyofanyika katika kiwanja cha Pipo siku ya J.nne Kigogo Post jijini Dar es Salaam. Kuwapa zawadi vijana pindi wanapofanya vizuri ni njia moja wapo ya kuwafanya waongeze juhudi zaidi.