WAISLAMU KUSHIRIKIANA KATIKA MAMBO YA MSINGI NI JAMBO JEMA SANA.




Sheikh Abdu Malik akihutubia Waumini wa Kiislamu katika Sherehe ya Maulid ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), iliyoandaliwa na Waumini wa Kiislamu wa Madhehebu ya Ahlu-Sunna Wal-Jamaa waliyoko Wilayani Bukoba. Picha na Sheikh Abdu Malik