MWENYEKITI WA AL-ITRAH AMEFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA UTANGAZAJI KILICHOPO TEHRAN.
Mwenyekiti wa Al-Itrah Foundation, akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha Utangazaji Radio
Swahili Tehran, Mwenyezi Mungu hawafanyie wepesi katika shughuli zao za
kila siku.