IDARA YA VYOMBO VYA HABARI.


Ni wajibu idara ya vyombo vya habari viwe chini ya Kiongozi wa Waislamu, na ni wajibu vielekezwe katika kuutumikia Uislamu na Waislamu na katika kueneza elimu Tukufu ya Mwenyezi Mungu, kama ambavyo ni wajibu kutumiwa kwa ajili ya maendeleo ya fikikira ya jamii ya Kiislamu na kutatua matatizo ya jumla, na ni wajibu kunufaika navyo katika kuunganisha safu za Waislamu na kueneza roho ya undugu baina yao na mfano wa nyanja kama hizi.