KUPAMBANA NA FIKRA POTOVU NI JUKUMU LA KILA MTU.
Hawa
ni baadhi ya wapambanaji wa harakati ya kueneza Madhehebu ya Ahlul-Bayt
(a.s) katika ardhi ya Arusha, kwa kweli sisi kama wafuasi wa Madhehebu
ya Ahlul-Bayt (a.s) tunawajibu wa kupambana na fikra angamizi
zinazoenezwa na kikundi cha Kiwahhabi (Answaru Sunna) katika kila sehemu
kwani kikundi hiki kimekuwa kikifanya uharibifu na uvunjifu wa amani
katika nchi mbalimbali ulimwenguni na kufikia kuchinja watu kwa madai ya
kuondoa Shirki haya yote wanayafanya kwa ajili ya kuuchafua Uislamu
halisi aliotuachia Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), tujiulize Je, kama
Bwana Mtume (s.a.w.w) angetumia njia kama hizi wanazotumia watu hawa
nani angekuwa Muislamu? Mtukufu Mtume (s.a.w.w) aliletwa kwetu hawe
rehema kwa watu wote bila ya kujali dini, kabila wala rangi sasa hawa
watu wanayoyafanya wanayapata wapi? , leo hii tunaona hapa kwetu vitisho
wanavyovitoa watu hawa kwa wafuasi wa Shia Ithna Ashariyya kwa kuwa tu
hawakubaliani na mitazamo yao hii ni sehemu ya vitisho alivyovipata
Sheikh Muhammad Omar Mubaraka wa Tanga: A.A.WARAHMATULLAHI WABARAKATUHU.
NIMEPATA SALAMU ZENU ENYI MAWAHABI ANSWAARI WA PANGANI KUTOKA KWA
BW.MEHBOOB HASSANALI WA B.B. 12,STENDI TANGA,KUWA LAU KAMA SITAACHA
KUWASEMA MAWAHABI BASI MNAPANGA NJAM AZA KUPIGWA NA KUUMIZWA MIMI HAPA
NA WATU MTAKAO KUWATUMA KULIFANYA HILO KWANGU.JE,KWANI VITABU NA HOJA NA
DALILI ZIMEISHA MPAKA SASA TUNAKWENDA KATIKA KUPIGANA NA KUHUJUMIANA
KINGUVU?SI MIMI NINASEMA?NA NYINYI SI MNASEMA?SASA UGOMVI UKO WAPI
HAPO?KAMA KWENU KUITWA MAKAFIRI NA MAZANDIKI HILO NI KOSA NA
HALIFAI,KWANI NYINYI MNATUITA SHIAH HIVYO HIVYO BALI NA HATA ZAIDI YA
HIVYO? MANENO HUJIBIWA KWA MANENO,HOJA NA DALILI.NA MATUSI HUJIBIWA
HIVYO HIVYO.KAMA MNAVYOTUKANA WATU HASA SHIAH NA SHIAH NAYE ANA HAKI YA
KUJIBU MATUSI HAYO.HAKUNA HAJA YA MAPIGANO WALA KUTUMIANA WATU KUPIGANA
UA KUPIGWA KWA MTU.KISHA ENYI MATAJIRI WA ANSWAARI MAWAHABI PANGANI,MIMI
NA NYINYI TUNAKUTANA MARA NGAPIA KWA SIKU HAPA PANGANI AU HATA
TANGA/MARA NYINGI SANA BILA SHAKA.KWA NINI NYINYI WENYEWE HAMULIFANYI
HILO MNATAKA KUTUMA WATU?NYINI HAMUTAKI KUINGIA PEPONI KUMUUA SHIAH?AU
MIMI NA MASHEIKHE WENU TUNAKUTANA NAO MARA NGAOI KWA SIKU,MASHEIKHE
WAZINU NA WANZINZI NA HATA WATOTO WAO NI MABASHA HUKO CHUONI NA
MISIKITINIMKWA DALILI KIJANA MMOJA SWABRI SI ALITAKA KUFANYWA USHIGA NA
WATOTO WA MASHEIKHE NA KESI ILIPOFIK AKWA WAKUU WA KANISA LENU,ADHABU
AKAPEWA HUYO ALIYETAKA KUFANYWA USHIOGA NA MTOTO WA SHEIKHE HAPO
KANISANI?MAMBO NI HAYO KWA HAYO NA NI HIVI HIVI.MKIYAJUA YANGU NA MIMI
NA YAJUA YENU.MASIPIKA KWA MASIPIKA,HOJA KWA HOJA NA MANENIO KWA
MANENO,UBAO KWA UBAO,MAKALA KWA MAKALA.VITIMBI NA UMBEYA MIMI SI UJUI NA
VITA SIVITAKI LAKINI SI VIOGOPI NA WALA SI WAOGOPI.JE,KWANI KWA WAKUU
WA SERIKALI MMESHINDWA MLIKOKUWA MKIPELEKA HABARI ZANGU KILA SIKU HATA
SASA NA LEO MNATAKA KUNIPIGA NA KUNITUMIA MAJANGILI KUNIDHURU NA
KUNIPIGA?
LAA HAWLAA WALAA KUWWATA ILAA BILLAHIL ADHWEEMU.
HAPO NDIPO NILIPOTEGEMEA MIMI.
ASANTENI KWA SALAMU ZENU KWA BW.MEHBOOB DIOSTMUHAMMAD HASSANALI WA
B.B.12 BUS STENDI TANGA.HONGERA MAWAHABI ANSWAARI PANGANI KWA KUFIKIA
DARAJA NA CHEO HICHO,NDIO ALAMA YA DINI YENU.KUUA NA KUPIGA NA KUTESA NA
KUDHULUMU NA KUKATAA HAKI HATA KAMA MMEIONA NA KUITAMBUWA.SHIAH NDIO
DINI YA HAKI.
AL-FAATIHA NA DUA KWENU NYOTE KWA HAYA MNAYOYAPANGA
DHIFI YANGU MIMI HAPA PANGANI.NA WALA SITASHTAKI KWA YOYOTE ILA KWA
ALLAH SWT NDIYE BORA WA KUHUKUMU KATI YANGU NA NYINYI MADHAALIMU.INAA
LILLAHI WA INNAA ILAYHI RAJIUONAA. https://www.facebook.com/groups/304552822999231/489198181201360/?comment_id=489299461191232¬if_t=like#