Matembezi ya Maulid ya Mtumkufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), yaliyofanyika 
siku ya J.pili ya tarehe 19/01/2014 kuanzia Shule ya Msingi Lutihinda 
Kigogo hadi Masjid Al Ghadiir Kigogo Post jijini Dar es Salaam, 
matembezi hayo walishiriki Waislam wa Madhehebu mbalimbali ya Kiislamu 
ukiachia watu wenye chuki dhidi ya Bwana Mtume (s.a.w.w) na wenye nia ya
 kufuta athari za Uislamu dunia watu hao si wengine bali ni ANSWARU 
SUNNA (WAHHAB) watu hawa wanafanya kila njia ulimwenguni Mtukufu Mtume 
(s.a.w.w) asitajwe katika vinywa vya watu tukiangalia leo hii tutaona 
katika baadhi ya Mihadhara na Makongamano, Maandamano baada ya watu 
kusema tumswalie Mtume sasa wanasema Takbiir yote hii ni njama ya kufuta
 athari walizotuachia watu waliyopita miongoni mwetu huu ni msiba mkubwa
 sana inatubidi tuamke tupambane na genge hili hatari.





