HARAKATI YA HIZBULLAH INA MAKOMBORA YENYE UWEZO MKUBWA.


Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amesema Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ina makombora ambayo yanaweza kulenga kwa ustadi mkubwa maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.