Habari
njema:Sasa idhaa ya kiswahili sauti ya jamhuri ya kiislamu ya Iran
inasikika katika mobile. Tembelea kiswahili.irib.ir Kisha bonyeza sehemu
iliyoandikwa irib mobile. Matangazo ya live asubuhi saa moja kamili
hadi saa mbili kamili kwa saa za afrika mashariki. Mchana saa tano na
nusu hadi sita na nusu kwa saa za afrika mashariki. Usiku saa mbili na
nusu hadi tatu na nusu kwa saa za afrika mashariki.Wakaazi
wa tanga wanaweza kutegea sikio matangazo ya idhaa ya kiswahili ya
radio iran kupitia maarifa fm kwenye 105.3 Zanzibar pia wanaweza
kusikiliza radio iran kupitia 104.9 adhana fm Bujumbura 88.2 kupitia
radio culture na 99.9 mikoani na katika mipaka ya nchi jirani na burundi
kupitiaa radio hiyo hiyo ya culture.Pata habari za uhakika kupitia
radio iran sauti ya Iran.Usiache kumjuza mwenzio.