BADO MAANDAMANO YAMEENDELEA KUFANYIKA KUIPINGA MAREKANI KUPELEKA MAJESHI YAKE SYRIA.

Watu wa Chant wamefanya Maaandamano kupinga Marekani kupeleka Majeshi yake katika nchi ya Syria Agosti 31,2013.

"Marekani itakumbwa na hatima sawa na ya Vitenam iwapo itavamia Syria." Kamanda wa Jeshi la Iran, Mohammad Ali Ja’afari