MAANDAMANO YAENDELEA KUFANYIKA SEHEMU MBALIMBALI KUPINGA VITA DHIDI YA SERIKALI YA SYRIA.

Maandamano yaliyofanyika mjini Washington, DC Agosti 29,2013, kupinga Vita dhidi ya Syria, Maandamano hayo yalielekea hadi mbele ya Ikulu.