Maulana Sheikh Hemed Jalala,
akiwa katika
maojiano na waandishi wa habari, akizungumzia matatizo yanayowakumba wa
Palastina kutokana na sera kandamizi za Wazayuni.
Waumini wa Kiislam wakiwa katika matembezi ya Amani yaliyofanyika Kigogo Post.
Ipo siku Quds itarudi mikononi mwetu.
Waislamu kila siku ya maisha yetu tuwe tunaikumbuka Quds.