TANGAZO.

Tujitokeze kwa wingi katika Maandamano haya kwa ajili ya kupinga dhuluma na ukandamizaji, wanaofanyiwa Waislamu wa Palestina katika ardhi yao Tukufu, ambapo ndipo kulipokuwa Kibla cha kwanza cha Waislamu Duniani kote. Fikisha ujumbe huu kwa Waislamu wengine Insh'allah.

"Mwaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na piganieni dini ya Mwenyezi Mungu kwa mali zenu na nafsi zenu hayo ni bora kwenu ikiwa mnajua." (Qur'an: 61:11)