"Utukufu ni (wake) ambaye alimpeleka mja wake
usiku kutoka Msikiti Mtukufu (wa Makka) mpaka Msikiti wa mbali (wa
Falastin) ambao tumevibariki vilivyoko pembezoni mwake, ili tumuonyeshe
baadhi ya dalili zetu. Hakika yeye ni mwenye kusikia, mwenye kuona." (Qur'an: 17:1)
Katika vita vya Khaybara, Tarekh inaonyesha kuwa: Mtume (s.a.w.w) alimpeleka kila mmoja katika Maswahaba, akampa bendera kwenda kupigana na Mayahudi, hakuna aliyeshinda. Mpaka Mtume (s.a.w.w) alipompa bendera mtu ambaye ni Mpenzi wa Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Akaenda akapigana akashinda, Khaybar ikawa mikononi mwa Waislamu. Sasa Mayahudi wamekita nguzo zao katika ardhi ya Falastin, tunawasikia kina Marhab wanajisifu na kujivuna na wanamdharau kila mtu. Wanaendesha mauaji ya halaiki, na kuangamiza kila kitu.