Asalaam Aleykum, Waislam wa Lukozi,Lushoto, wanafyatua Tofali kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha Afya AHLUL-BAYT ISLAMIC CENTER..(a.s), wanaomba michango yenu kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo, inasemekana katika eneo hilo hakuna huduma ya kituo cha Afya kwa hiyo wanalazimika kujenga kituo cha Afya kwa ajili ya wakazi wa Lukozi, Lushoto. WAMAATUQAD DIMUU LIANFUSIKUM MIN KHAIRIN TAJIDUUHU IN-DA LLAAHI. "Wekeza kisichochakaa na kwa asie sahau ambaye ni Allah."
Unaweza kuwasiliana na Imam wa Masjid Al-Kisaa, Lushoto mjini kwa namba zifuatazo: +255 658822585