Bismillahir Rahmanir Rahim.
Asalaam Aleykum, Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Mwili wa Baba yake Sheikh Hyder umepatikana katika ajali ya jengo lililoanguka karibu na Msikiti wa Khoja Shia Ithna Ashariyyah, mwili wa Marehemu utaswaliwa Masjid Ghadiir, Kigogo post, Dar es Salaam, Saa 4:30 Asubuh, siku ya J.tatu. Mtaarifu mwengine Insh’allah. Inna lillahi wa inna ilaihi rajeoon