Sheikh Mkuu wa Tanzania Ithna Ashariyya,
Sheikh Abdallah Seif akiongoza Swala ya Maiti katika Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Waumini wakiusindikiza mwili wa Marehemu katika makaburi ya Magomeni mtaa wa kisiju kwa ajili ya maziko.
Mazishi ya baba yake Sheikh Hydar,
aliyekufa
katika ajali ya jengo lililoanguka siku ya Ijumaa ya tarehe 29 - 3 -
2013, jijini Dar es Salaam.