Maulana
Sheikh Hemed Jalala,
Mudir wa Hawzat
Al-Imam Swaadiq (a.s), anapenda kuwapa mkono wa pole Waislam wote Duniani, kwa
kumbukumbu ya kifo cha Mtoto wa Mtume wetu Mohammad (s.a.w.w), kwa jina aitwaye
Fatima Az-Zahrau, pia Maulana Sheikh Hemed Jalala anapenda kuwaharika Waislam
wote katika Majilisi itakayofanyika Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, Siku ya
J.pili, Tarehe 14 - 4 - 2013 kuanzia Saa 3:00 Asubuh hadi Adhuhuri, kukifuatiwa na zoezi la
uchangiaji Damu. Fikisha ujumbe huu kwa Waislam wote Insh’allah. Kwa
mawasiliano zaidi piga namba: 0786 750 004. IJUMAA KAREEM