Bismillahir Rahmanir Rahim.
Asalaam Aleykum, Ndugu zetu wafuasi wa Madhihabu ya AHLUL-BAYT (A.S) msichoke kuyatangaza Madhihabu ya AHLUL-BAYT (A.S). Mwenyezi Mungu anasema: "Au mnadhani kwamba mtaingia Peponi na hali bado hamjafikiwa na mfano (kama) wa wale waliopita kabla yenu? Yaliwashika mashaka na madhara na wakasukwa sukwa hata akasema Mtume na Walioamini pamoja naye: Msaada wa Mwenyezi Mungu (utafika) lini? Sikilizeni bila shaka msaada wa Mwenyezi Mungu uko karibu. Qur'an: 2:214