Asalaam Aleykum, Kesho siku ya J.pili, Tarehe 27-1-2013, kutakuwa na Semina ya Wanawake wa Kishia katika Msikiti wa Answar Imamia Arusha, kuanzia Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 8:00 Mchana, kukifuatiwa na Maulid ya Wanawake itakayofanyika katika Jengo la CCM MKOA, Arusha, mpaka Saa 12:00 Jioni. Fikisha ujumbe kwa Wanawake wote, Mwenyezi Mungu atakulipa Kheri hapa duniani na kesho Akhera.