Kesho kamati ya Tabligh ya
Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), ikiongozwa na Maulana Sheikh Hemed Jalala,
itakuwa katika kiwanja cha Mnazi mmoja, jijini Dar es Salaam, kwa ajili
ya Maulid ya kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) yatayofanyika
Kitaifa kesho, Tarehe 24-1-2013