Muktada Sadr ambaye ni mwanazuoni anayetoka katika familia ya wanazuoni wakuu walikuwa mashuhuri na wenye wafuasi wengi hasa kutoka katika madhehebu ya kiislamu ya Shia,ametangaza kutoshiriki katika harakati za kisiasa na kwamba hata shiriki katika serikali wala hatakuwa na wawakilishi bungeni.
Ikumbukwe kwamba Muktada Sadr alipata umaarufu zaidi baada ya kuamuru askari wake wakabiliane na wanajeshi wamarekani walivamia Iraq.Chanzo cha habari https://www.google.co.tz/search?q=abna&ie=utf-8&oe=utf-8&rls=org.mozilla:en-US:official&client=firefox-a&channel=sb&gws_rd=cr&ei=HTgFU4CuBKfF7Ab224HYDA