Bismillahir Rahmanir Rahim.
Asalaam Aleykum, Ndugu zetu katika Imani tunapenda kuwatangazia kuwa Safari zetu za Harakati za Tabligh zikiongozwa na Maulana Sheikh Hemed Jalala zimeanza tena, na hivi leo Tarehe 4-1-2013 tunaelekea TANGA WILAYA YA LUSHOTO, MASJID KISAA kwa ajili ya kufikisha ujumbe wa AHLUL-BAYT (A.S), kwa hiyo hilikufanikisha Msafara wetu huu tunaitajia sana DUA zenu kwa hali na mali, pia nafasi za kuchangia Harakati za Tabligh zipo wazi unaweza kufikisha mchango wako katika ofisi zetu zilizopo Kigogo post, jijini Dar es Salaam au wasiliana nasi kupitia namba: 0714 884 471, 0786 750 004, 0755 936 545.
Mwenyezi Mungu (s.w.t) anasema: " Enyi mlioamini! kuweni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Issa bin Mariam kuwaambia wafuasi (wake): "Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? wafuasi wakasema: "Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, basi taifa moja la wana wa Israeli walioamini, na taifa jingine wakakufuru, ndipo tukawasaidia wale walioamini juu ya maadui zao na wakawa wenye kushinda." (Qur'an: 61:14)
"Enyi mlioamini! inaponadiwa kwa ajili ya Swala siku ya Ijumaa, basi nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara, hiyo ni bora kwenu ikiwa mnajua." (Qur'an: 62:9)
IJUMAA KAREEM.