KAMATI YA TABLIGH YA HAWZAT IMAM SWAADIQ (A.S), KIGOGO POST, DAR ES SALAAM, TANZANIA.

1:Maulana Sheikh Hemed Jalala (Sheikh mkuu)
 2:Sheik Muhammad Abdu (M/kiti)
 3:Sheikh Ghawth (M/kit wa kamati kuu ya harakati za tablgh)
 4:Sheikh Kiza Mussa "
 5:Sheikh Qassim Ruvakure "
 6:Omar Mussa (M/hazina msaidizi)
 7:Juma Magambilwa (Mtunzi wa Mashairi)
 8:Suleiman Jerad (Mpiga picha)
 9:Muhammad Juma (katibu)
 10:Khoza Omar (M/hazina)
 11:Alhajji Mputa :Mjumbe
 12:Salim Bakari "
 13:Ramadhani Shaban "
 14:Ibrahiim Mpilipili "
 15:Salim Mwamba "

 Hii ndio kamati inayofanya kazi ya kuwaunganisha Mashia katika kila kona ya Tanzania, kwa kujitolea nafsi zao na mali zao na kuhakikisha madh-hab ya Ahlul bayt (as), yanafahamika kwa watu wote bila kujali dini zao na madh-hab zao. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an Tukufu: " Mwaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na piganieni dini ya Mwenyezi Mungu kwa mali zenu na nafsi zenu hayo ni bora kwenu ikiwa mnajua. (Qur'an: 61:11).