Bismillahir Rahmanir Rahim.
Mtume (s.a.w.w) alipotoka nyumbani kwake kwenda katika pango, tayari kwa kuhamia Madina. Huku Makka alimwacha nduguye Imam Ali bin Abi Talib (a.s) ili asimamie kurudisha amana walizoweka makuraishi kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w) Imam Ali (a.s) akalala katika kitanda cha Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) Mwenyezi Mungu akateremsha Aya isemayo: "Na miongoni mwa watu kuna ambaye huiuza nafsi yake kwa ajili ya kutaka radhi ya Mwenyezi Mungu na Mwenyezi Mungu ni mwenye huruma juu ya waja"
(Qu'ran: 2:207)
.
Taz: Tafsirul Qurtubi J. 3 Uk. 21
Al'bur'han fyi tafsiril Qur'an J. 1 Uk. 206
Tafsirul Safii J. 1 Uk. 241