Maulana Sheikh Hemed Jalala,
Mudir wa Hawzat
Al-Imam Swaadiq (a.s), (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na familia
yake, Kijijini kwao Tanga.
Maulana Sheikh Hemed Jalala,
Mudir wa Hawzat
Al-Imam Swaadiq (a.s), akiwa na Jopo la Tabligh, nyumbani alipozaliwa,
aliekaa chini Mama mzazi wa Maulana Sheikh Hemed Jalala.
Jopo la Wanaharakati wa Tabligh,
likiwa
nyumbani alipozaliwa Maulana Sheikh Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat
Al-Imam Swaadiq (a.s), iliyopo Kigogo, Post jijini Dar es Salaam, Tanzania.