Dr Aldina Imam wa Msikiti wa KHOJA SHIA
ITHNASHERI, akitoa historia ya Mubahala, Masjid Ghadiir Khum Kigogo
post, jijini Dar es Salaam.
Waislam wa Madhihabu
mbalimbali wakiwa katika sherehe ya Eid Mubahala, iliyofanyika Kigogo post, jijini Dar es Salaam.
Maulana Sheikh Hemed Jalala,
Mudir wa Hawzat
Al-Imam Swaadiq (a.s), aliongoza swala ya Adhuhur, baada ya kumalizika
sherehe ya Eid Mubahala.
Waumini wakiswali swala ya Adhuhur,
baada ya
kumaliza sherehe ya Eid Mubahala, swala ikiongozwa na Maulana Sheikh Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Masjid Ghadiir Khum, Kigogo post,Jijin Dar es Salaam.
Watoto wa Kiislam wakionyesha shoo ya mchezo
wa Karate, katika sherehe ya Eid Mubahala.
Waumini wa Kiislam wa Madhihabu,
mbalimbali wakiangalia mchezo wa Karate uliofanyika katika sherehe ya Eid Mubahala, Masjid Ghadiir Khum, Kigogo post, Jijini Dar es Salaam.