SHEREHE YA HARUSI, ILIYOFANYIKA KWA SHEIKH WAZIRI NYELLO, KINONDONI, JIJINI DAR ES SALAAM.

Sheikh Ridhiwan Pingili, akifungisha Ndoa 
Masjid Swalihina Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, baada ya Swala ya Adhuhuri.
 Maulana Sheikh Hemed Jalala,
 Mudir wa Hawzat Imam Swaadiq (a.s), iliyopo Kigogo post, Jijini Dar es Salaam, akitoa hutuba ya Ndoa Masjid Swalihina Kinondoni, Jijini Dar es Salaam.
 Wanafunzi wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s),
iliyopo Kigogo post, Jijini Dar es Salaam, wakisoma Qaswiida katika sherehe ya Harusi, iliyofanyika Masjid Swalihina Kinondoni.