KWA
BARAKA ZA HIJJA NA KIZAZI KITUKUFU CHA MTUME (S.A.W.W), MWENYEZI MUNGU,
IBARIKI AFROSHIA NA WAFUASI WA AHLUL-BAYT (A.S), NA WALE WOTE WANAO
KUSUDIA VIBAYA HARAKATI ZETU, MWENYEZI MUNGU TUNAWAKABIDHI KWAKO KWA MAANA
WEWE NDIYE UNAYEJUA CHAKUWAFANYA, KWA MAANA SISI ATUNA KIBAYA
TUNACHOKUSUDIA ZAIDI YA KUYAPIGANIA MADHIHABU YA AHLUL-BAYT(A.S), NA
TUWEKE MBALI NA WANAFIKI NA WASHIRIKINA WANAOJIFANYA WAPO PAMOJA NASI
ALIYAKUWA WANAFIKI NA WASHIRIKINA WAKUBWA.
"NA NI TANGAZO
ILITOKALO KWA MWENYEZI MUNGU NA MTUME WAKE, KWA WATU SIKU YA HIJJA KUBWA
KWAMBA MWENYEZI MUNGU YU MBALI NA WASHIRIKINA NA (PIA) MTUME WAKE (YU
MBALI NAO) BASI KAMA MKITUBU NDIYO KHERI KWENU, NA KAMA MKIKATAA BASI
JUENI KWAMBA NYINYI HAMUWEZI KUMSHINDA MWENYEZI MUNGU. NA WAPASHE
KHABARI WALIOKUFURU KWA ADHABU IUMIZAYO."
(QUR'AN: 9:3)