Mwenyezi Mungu (s.w) anasema:
"Na kama angelizua juu yetu baadhi ya maneno"
(Qur'an: 69:44)
Neno "Bid-a kilugha ni: Lenye kuzuka" ikiwa ni zuri au baya.
Ama taarif ya kisharia, ni hivi asemavyo Mtume (s.a.w.w):
"Kila lenye kuzuka ni upotovu, na upotovu wote (utatupwa) Motoni."
"Yatakapotokeza yenye kuzuka katika Umati wangu basi Mwanachuoni aonyeshe elimu yake (kwa kukanya hayo) Na yeyote asiyefanya (hilo) basi laana ya Mwenyezi Mungu iko juu yake."
Taz: Wasaailush shia J.16 Uk. 269-272
Amesema Imam Hussein bin Ali (a.s):
"Enyi watu! hakika Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema: Atakayemuona mtawala muovu anahalalisha haramu ya Mwenyezi Mungu, anavunja ahadi ya Mwenyezi Mungu, anaacha Sunna ya Mtume wa Mwenyezi Mungu, anawatendea maovu na uadui waja wa Mwenyezi Mungu, na asikanye kwa kitendo au kwa kusema, ni haki kwa Mwenyezi Mungu kumtia popote."
Taz: Tarekhut Tabari J.4 Uk. 304