Baadhi ya Waislam
leo wameandamana Mbagala Kizuiani,Jijini Dar es
Salaam, kupinga kitendo cha kijana mmoja aliye kojolea Qur'an leo
Asubuhi.
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya Machozi, ili
kuwatawanya waandamanaji hao Wakiislam walipokizingira kituo cha Polisi
wakitaka kijana huyo atolewe la sivyo watakichoma moto kituo hicho cha
Polisi.