SAFARI YA TABLIGH, HANDENI MKOA WA TANGA.

Asaa'lam Aleykum, Maulana Sheikh Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), na kamati yake ya Tabligh, wanawatangazia kuwa J.mossi ya tarehe 15-9-20212 na J.pili ya tarehe 16-9-2012, watakuwa Handeni mkoa wa Tanga kwa ajili ya Tabligh.

Mada:
 

1- Je,Maulid ni Bidaa?
2- Talakin ni Haram?
3- Hitma ni Haram?
4- Uje Ushia

Kwa mawasiliano zaidi piga namba: +255 655 740 503/ +255 786 750 004, Muhammad Mputa, Katibu wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Kigogo post, Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Maswali na Majibu yatapewa kipaumbele. Karibuni sana