MSAFARA WA TABLIGH HANDENI WILAYANI TANGA.


Maulana Sheikh Hemed Jalala 
Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), na kamati yake ya Tabligh wakielekea Handeni 
wilayani Tanga.

  
Maulana Sheikh Hemed Jalala,
Mudir wa Hawazat Al-Imam Swaadiq (a.s), akitoa Muhadhara wa UJUE USHIA, katika kiwanja cha soko Kukuu Chanika, Handeni wilayani Tanga.

Wakinamama wa Handeni 
wilayani Tanga, wakiwa katika Muhadhara
 wa UJUE USHIA, uliofanyika katikakiwanja cha Soko Kukuu Chanika, 
Handeni wilayani Tanga.

Waislam wa Madhihabu mbalimbali 
wakisikiliza Muhadhara uliyofanyika Handeni wilayani Tanga, siku ya J.mossi na J.pili na J.pili.